1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiongozi wa kikundi cha Mungiki nchini Kenya aachiwa huru

26 Oktoba 2009

Kiongozi wa kundi la Mungiki, Maina Njenga, kundi linalodaiwa kufanya mauaji na machafuko kadhaa nchini Kenya ameachiwa huru na ametangaza kujiunga na dini ya Kikristo.

https://p.dw.com/p/KFKS
Watu wa eneo la Mathare jijini Nairobi walilazimika kuvunja makaazi yao wakati wa mapigano baina ya polisi na kikundi cha Mungiki hapo Juni,2007.Picha: AP

Grace Kabogo alizungumza na Cyrus Jirongo, kiongozi wa chama cha siasa cha KADDU na Mbunge wa Jimbo la Lugari, Kenya, na alianza kumuuliza nini maoni yake kuhusu uamuzi huo wa mahakama wa kumuachia huru kiongozi huyo wa Mungiki.

Mtayarishi: Grace Patricia

Mhariri: M.Abdul-Rahman