1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiongozi wa Korea Kaskazini azuru China

Grace Kabogo
27 Machi 2018

Kuna taarifa kwamba kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amefanya ziara nchini China. Hiyo itakuwa ziara ya kwanza nje ya nchi ya Kim tangu aingie madarakani mwaka 2011.

https://p.dw.com/p/2v3Vb