1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Fasihi

Karibuni na ulimwengu wa filamu

Sudi Mnette
22 Julai 2020

Katika kipindi cha Karibuni cha 25.07.2020 pamoja na safu ya Je, Umeipata hiyo, utamsikia mtengeneza filamu wa Tanzania anaeng'arisha taifa lake nchini Marekani, Honeymoon Mohammed Al-Jaber.

https://p.dw.com/p/3fhYA
Google Doodle Amaka Igwe
Picha: Google/Data Oruwari