1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kisiwa cha Nyoka

Bruce Amani
14 Juni 2019

Wakaazi wa kisiwa cha Musambwa nchini Uganda wana urafiki usio wa kawaida na nyoka. Kwa miaka mingi wamekuwa wakiishi na nyoka wenye sumu kali aina ya cobra

https://p.dw.com/p/3KTWK