1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiswahili Kina Wenyewe: Kiswahili kama lugha ya Afrika

Mohammed Khelef
27 Novemba 2019

Je, Kiswahili kinaweza kweli kuwa lugha ya bara zima la Afrika? Profesa Aldin Mutembei wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ana mawazo hayo na hapa anamueleza Mohammed Khelef jinsi ndoto hiyo itakavyotimia.

https://p.dw.com/p/3Tnxm