1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Kiswahili tangu enzi

17 Januari 2013

Tangu kuanzishwa kwake, Idhaa ya Kiswahili ya DW imekuwa ikisisitiza sana matumizi sahihi na sanifu ya lugha ya Kiswahili kama kipindi hiki cha Maoni mbele ya Meza ya Duara kwenye miaka ya 1980 kinavyothibitisha.

https://p.dw.com/p/17Ly0
Timu ya Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle kwenye miaka ya 1970, Cologne.
Timu ya Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle kwenye miaka ya 1970, Cologne.Picha: Alfred Koch