1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano kuhusu mswada wa kufanyiwa marekebisho ya baadhi ya Sheria nchini Tanzania

20 Januari 2010

Nchini Tanzania leo vuguvugu la uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu, limeanza kushika.

https://p.dw.com/p/Lc2n

Leo hii kumefanyika kongamano la kujadili mswada wa kutaka kufanyiwa marekebisho baadhi ya sheria ili kuufanya uchaguzi huo uwe huru zaidi na wa haki.

Mwandishi wetu wa jijini Dar es Salaam George Njogopa aliudhuria kongamano, na ametuandalia taarifa ifuatayo.

Mwandishi:George Njogopa

Mhariri:Aboubakary Liongo