1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la lugha ya Kiswahili mjini Nairobi,Kenya

26 Agosti 2009

<p>Kongamano la Kiswahili linaanza hii leo mjini Nairobi Kenya. Kongamano hilo la Chama cha Kiswahili cha Taifa Kenya (CHAKITA) lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Nairobi litamalizika Agosti 29, mwaka huu.

https://p.dw.com/p/JIzd
Jiji la Nairobi kunakofanyika Kongamano la KiswahiliPicha: picture-alliance / TPH Bildagentur / Spectrum
Grace Kabogo alizungumza na Omar Babu Marijani, Mhadhiri wa Kiswahili, mwandishi wa vitabu na mwandishi wa habari, anayehudhuria kongamano hilo na alianza kumuuliza hasa lengo kuu la kongamano hilo:

Mtayarishaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri:Abdul-Rahman