1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongo: Udhalilishaji na ubakaji katika migodi ya dhahabu

Mitima Delachance19 Machi 2019

Tunaelekeza macho yetu kwenye machimbo ya migodi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambako mwandishi wetu Mitima Delachance ametembelea na kukutana na kadhia ya watoto wa kike wenye umri wa kati ya miaka 14 na 17 huko Kamituga katika wilaya ya Mwenga, wakisimulia visa vya unyanyasaji wa kingono, udhalilishaji na ubakaji wanavyokabiliana navyo katika migodi ya dhahabu.

https://p.dw.com/p/3FIpe