1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongo yaanzisha operesheni dhidi ya waasi

Grace Kabogo
15 Januari 2018

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo limeanzisha operesheni kubwa ya kijeshi dhidi ya waasi, likiwemo kundi la waasi wa Uganda, ADF, katika mkoa wa Kivu ya Kaskazini.

https://p.dw.com/p/2qr83