1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kujiuzulu kwa Hailemariam kwamaanisha nini Afrika?

16 Februari 2018

Nchini Ethiopia Waziri Mkuu Hailemariam Desalegn alitangaza uamuzi wa ghafla na wa kushangaza wa kujiuzulu nafasi yake akilalamikia kushindwa kuleta mageuzi ya kidemokrasia na kisiasa anayoyataka.

https://p.dw.com/p/2snZ1
Hailemariam Desalegn
Picha: picture-alliance/AP Photo

J2: 16.02.2018 - Interview on Ethiopia - MP3-Stereo

 Mohammed Khelef amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kimataifa, Ahmed Rajab, akiwa London, juu ya uamuzi huu na maana yake sio tu kwa siasa za Ethiopia, bali pia kwa kanda nzima ya Pembe ya Afrika.