1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kunahitajika uwazi katika sekta ya madini barani Afrika

Admin.WagnerD23 Aprili 2013

Mkutano unaojulikana kama wiki ya biashara ya Afrika unafanyika mjini Frankfurt nchini Ujerumani huku suala la uwazi katika sekta ya madini ukiwa ni miongoni mwa masuala muhimu katika konganano hilo.

https://p.dw.com/p/18LW8
Speisesalz http://de.wikipedia.org/w/index.php?title=Datei:Speisesalz.jpg&filetimestamp=20091126140330
MadiniPicha: Christian Thiele

Mkutano huo unawashirikisha wawekezaji kutoka Ujerumani pamoja na mafisa wa biashara kutoka nchi kadhaa za kiafrika zikiwemo za Afrika Mashariki na Kati. Mwenzangu Mohammed Khelef ameshiriki katika mkutano huo ambao hufanyika kila mwaka, na muda mfupi uliopita nimezungumza naye, na kwanza nilimuuliza kuhusu mada muhimu katika mkutano wa mwaka huu.

Mwandishi: Daniel Gakuba
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman