1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kupanda kwa bei ya vyakula nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

30 Aprili 2008

Ongezeko la bei za vyakula katika nchi mbalimbali barani Afrika limeendelea kuwa kubwa zaidi na limehathiri pia nchi kama DRC.

https://p.dw.com/p/Dr4P
Mwanamke mjini Kinshasa akitayarisha chakula nyumbani kwakePicha: AP

Viongozi wa nchi hiyo wanasema hali ya kupanda kwa bei ya vyakula inawapa wasiwasi mkubwa.Mji mkuu kinshasa unaagiza takriban asilimia 70 ya vyakula kutoka nje.


Taarifa kamili na mwandishi wetu wa Kinshasa Saleh Mwanamilongo