1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na Beanie, mtoto wa kiharara

1 Februari 2017

Baada ya kuzaliwa katika Bustani ya Wanyama London, Beanie alikuwa na mwanzo mgumu. Mamake alimkataa hivyo kitoto hicho cha kiharara kikalazimika kutafuta penzi kwengine. Dubu la kuchezea ndilo rafiki na mamake mbadala

https://p.dw.com/p/2Wnvo