1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaAfrika

Kutana na Bintimfalme Yennenga

Yusra Buwayhid
14 Oktoba 2020

Yennenga hakuwa bintimfalme wa kawaida, alikuwa ni shujaa wa kivita na mwenye uzowefu mzuri wa kuendesha farasi. Ujasiri wake umeshangia pakubwa katika kujenga utambulisho wa Burkina Faso.

https://p.dw.com/p/3jvo6