1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na Shujaa Kahengeri wa Mau Mau

11 Desemba 2013

Safari ya kuelekea kwenye uhuru wa Kenya ilianza kwenye miaka ya 1950 kwa uasi wa Mau Mau, vuguvugu la wanamgambo wa Kiafrika waliopingana na utawala wa kikoloni na unyonyaji wake dhidi ya wenyeji.

https://p.dw.com/p/1AXBt
Gitu wa Kahengeri, mpiganaji wa zamani wa Mau Mau
Gitu wa Kahengeri, mpiganaji wa zamani wa Mau MauPicha: DW/R. Kyama

Katika mahojiano haya, Reuben Kyama anazungumza na Shujaa Gethu wa Kahengeri, mmoja wa wazee waliopigania uhuru wa Kenya akiwa sehemu ya Vuguvugu la Mau Mau.

Kusikiliza undani wa yaliyowasukuma vijana wa wakati huo wa Kenya kukamata silaha dhidi ya mkoloni wa Kiingereza, bonyeza alama ya spika za masikioni iliyopo hapo chini.

Mahojiano: Reuben Kyama/Ghetu wa Kahengeri
Mhariri: Mohammed Khelef