1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa Visiwani Zanzibar

19 Februari 2010

<p>Spika wa baraza la wawakilishi visiwani Zanzibar, Pandu Ameir Kificho amesisitiza kwamba kura ya maoni itakayoamua kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar itafanyika kabla uchaguzi mkuu.

https://p.dw.com/p/M5xo
Alisema chama tawala cha CCM hakiwezi kubatilisha uamuzi uliopitishwa na baraza hilo la wawakilishi. Josephat Charo amezungumza na Bwana Kificho na kwanza kumuuliza juu ya uwezekano wa serikali ya umoja wa kitaifa kuundwa kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Tanzania.

Mtayarishi: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji