1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuundwa kwa timu ya kijeshi mashariki mwa Kongo

24 Septemba 2012

Kumeundwa na timu ya kijeshi kwa ajili ya kukadiria uwezo walio nao waasi katika DRC kabla yakutumwa huko kikosi huru cha kimataifa, kwa ajili ya kuwatokomeza waasi katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/16DE0
Wanajeshi wa Kongo
Wanajeshi wa KongoPicha: dapd

Kumeundwa na timu ya kijeshi kwaajili yakukadiria uweza walio nao waasi katika DRC kabla yakutumwa huko kikosi huru cha kimataifa, kwaajili ya kuwatokomeza waasi katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.
Timu hiyo ikiwa ilizinduliwa wikendi hii, inaongoza na Brigedia James A Mwakibolwa toka Tanzania. Hata hivyo waasi katika DRC wanasema kua hawatambui timu hiyo na wengine wakisema kua watalazimika kukabiliana na kikosi huru cha kimataifa punde kitatumwa DRC kwaajili ya kuwatokomeza.
John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Saumu Yusuf

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi