1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuzuia maji kupungua mwilini wakati wa mwezi wa Ramadhan

Amina Abu Ali Mjahid6 Mei 2019

Ni muhimu sana kudumisha viwango vya maji mwilini maana ni moja ya mambo yanayokufanya uwe na afya njema siku zote na hasa katika mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa Waumini wa Kiislamun wanaofunga. Kuzingatia lishe bora pia ni kitu muhimu, Je ni vyakula gani vinavyopaswa kuliwa wakati huu? Amina Abubakar na mengi zaidi kwenye kipindi cha Afya Yako.

https://p.dw.com/p/3I0C7