1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwa nini vijana wanakosa ajira licha ya kusoma?

14 Septemba 2011

Licha ya vijana wengi kuhitimu wakiwa na elimu nzuri, bado ukosefu wa ajira umekuwa kikwako kikubwa kwao linapokuja suala la kujiimarisha kimaisha na kujenga mustakabali wao.

https://p.dw.com/p/Rlaz
Vijana wanahitimu na vyeti vizuri lakini hakuna ajira kwao
Vijana wanahitimu na vyeti vizuri lakini hakuna ajira kwao

Caro Robi, katika makala hii ya Vijana Mchaka Mchaka, anazungumzia kile kilichopo nyuma ya kilema cha maofisi ya serikali na hata ya binafsi kupigania kuajiri watu wenye uzoefu tu, na hivyo kuwasukuma vijana wanaohitimu sasa kutoka chuoni nje ya ulingo wa ajira.

Mtayarishaji: Caro Robi
Mhariri: Othman Miraji