1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwa nini wafanyakazi Ujerumani watafuta kazi zaidi ya moja?

Oumilkheir Hamidou7 Februari 2019

Takwimu zinaonyesha kuwa kuna ongezeko la wafanyakazi wanaofanya kazi mbilimbili au ya ziada nchini Ujerumani. Je sababu zinazowasukuma watu kufanya hivyo ni zipi? Jiunge na Ummilkheir akitafutia suali hilo jibu kwenye makala ya Sura ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/3Cw88