1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maafa Dar es Salaam baada ya mto Msimbazi kuhama mkondo wake

Amina Mjahid
11 Aprili 2018

Nyumba kadhaa zimesombwa na maji na nyingine zaidi zikiwa kwenye hatari ya kuporomoka kufuatia Mto Msimbazi kuhama mkondo wake wa asili na kuchana mkondo mwingine katikati ya makaazi ya watu kwenye Mtaa wa Majengo, Vingunguti jijini Dar es Salaam

https://p.dw.com/p/2vtIe