1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandamano ya Waandishi wa Habari nchini Kenya

15 Agosti 2007

Mamia ya waandishi wa habari nchini Kenya leo asubuhi walishiriki katika maandamano makubwa katikati ya mji mkuu wa Nairobi kupinga mswaada wa sheria ya kudhibiti vyombo vya habari nchini humo,lakini serikali sasa imebatilisha msimamo wake kuhusu mswaada huo wa sheria.

https://p.dw.com/p/CH9Z
Jiji la Nairobi yalipofanyika maandamano ya Waandishi wa Habari
Jiji la Nairobi yalipofanyika maandamano ya Waandishi wa HabariPicha: DW
Mwandishi wetu Mwai Gikonyo ametutumia taarifa ifuatayo kutoka Nairobi.