1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Machafuko yazuka huko Fizi mashariki mwa Kongo

Josephat Nyiro Charo9 Aprili 2010

Kumeripotiwa kuzuka machafuko katika eneo la Fizi, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo mali na mifugo ya raia imeporwa huko Katanga.

https://p.dw.com/p/MsCe
Maelfu ya Wakongo wakirudi makwao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoPicha: AP

Josephat Charo amezungumza hivi punde na kapteni Oliver Amuli, msemaji wa majeshi yanayoshiriki katika operesheni ya "Amani Leo" katika mkoa wa Kivu Kusini, na kwanza kumuuliza kinachoendelea katika eneo hilo.

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji