1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madaktari Tanzania kutumwa mikoani

10 Januari 2018

Serikali ya Tanzania itawapeleka madaktari bingwa wapatao 200 katika hospitali za mikoa ili kukabiliana na upungufu wa watalaamu hao. Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania, Obadia Nyongola, azungumzia uamuzi huo.

https://p.dw.com/p/2qdZJ
Madaktari wakimhudumia mgonjwa
Picha: Getty Images/AFP/S. Kambou

M M T/ J1 11.01.2017 Tanzania Gesundheitssektor - MP3-Stereo