1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madereva Wahimizwa Kuwa waangalifu

Amina Mjahid
11 Aprili 2018

Ajali za barabarani zaongezeka nchini Kenya. Hapo jana watu 17 waliuwawa baada ya dereva wa basi kushindwa kudhibiti usukani wakati basi hilo likitokea kaunti ya Homa bay kuelekea mjini Nairobi. Madereva wametakiwa kuwa waangalifu zaidi barabarabi. Papo kwa Papo 11.04.2018

https://p.dw.com/p/2vtFE