1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko yawaacha maelfu ya watu Sudan Kusini taabani

8 Novemba 2019

Takriban watu 400,000 Sudan Kusini wamebaki bila makao kufuatia mafuriko. Maelfu zaidi ya watu pia wameathiriwa huku mifugo na mashamba yakiharibiwa.

https://p.dw.com/p/3ShnC