1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maggid Mjengwa,Tanzania

23 Mei 2013

Mwanablogu huyo mwenye umri wa miaka 47 kutoka Iringa, Tanzania, anasifu mchango wa Umoja wa Afrika katika juhudi za kupigania uhuru wa nchi za Afrika ingawa majukumu mapya yanaukabili hivi sasa Umoja huo

https://p.dw.com/p/18c8y
Maggid Mjengwa, ein tansanischer Blogger; Copyright: privat
Maggid MjengwaPicha: privat

"Sherehe za miaka 50 zina umuhimu mkubwa kwa bara la Afrika, mtu akizingatia jumuia hiyo imesimama katika majukwaa mengi ya kimataifa kuwakilisha sauti ya bara la Afrika. Changamoto kubwa inayoukabili Umoja wa Afrika hivi sasa ni kuhakikisha bara la Afrika linajiendeleza kiuchumi na kinadharia."