1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama yatupilia mbali kesi ya ukomo wa urais Uganda

Veronica (HON)30 Septemba 2020

Mahakama ya Afrika Mashariki imetupilia mbali pingamizi la mwanasheria Male Mabirizi wa Uganda aliyefungua shauri la kupinga maamuzi ya mahakama ya katiba nchi humo yaliyoondoa kikomo cha umri wa kugombea urais. Mahakama hiyo imesema mchakato wa mabadiliko hayo haukukiuka maadili ya majaji.

https://p.dw.com/p/3jEAM