1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama: Museveni alichaguliwa kwa haki

Elizabeth Shoo31 Machi 2016

Mahakama Kuu ya Uganda imesema Rais Yoweri Museveni alichaguliwa kihalali kuiongoza tena Uganda katika uchaguzi mkuu. Mgombea Amama Mbabazi alikuwa amefungua kesi akidai kwamba uchaguzi haukuenda sawa.

https://p.dw.com/p/1IMcb
Amama Mbabazi na mawakili wake
Picha: DW/E. Lubega

[No title]