1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya Juu Kenya yaamuru kupitiwa mfumo wa matokeo

Mohammed Khelef
28 Agosti 2017

Mahakama ya Juu nchini Kenya yaiamuru Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuvipa nafasi vyama vya Jubilee na NASA kuhakiki mfumo wa kukusanyia matokeo. Upepo mkali na dharuba waendelea kulikumba jimbo la Texas, Marekani, ambako umesababisha mafuriko makubwa, huku idadi ya wakimbizi wa ndani nchini DRC ikifikia milioni 3.8. Papo kwa Papo 28.08.2017.

https://p.dw.com/p/2iyfl