1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na kiongozi wa chama cha UPC Uganda Jimmy Akena

Sudi Mnette4 Agosti 2020

Nchi ya Uganda inatarajia kufanya uchaguzi mkuu mwakani. Tayari vyama vya kisiasa vinaendelea na michakato ya kujiweka sawa kisiasa. Kwenye Kinagaubaga, Sudi Mnette anazungumza na kiongozi wa chama cha UPC Jimmy Akena ambaye alichaguliwa hivi karibuni kukiongoza chama chake. Je malengo yake ni yapi? Sikiliza

https://p.dw.com/p/3gNoU