1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na Kiongozi wa jamii ya Kisomali nchini Uganda kuhusu hali ya Somalia

26 Aprili 2007

Mbali na kuweko kwa jamii ya Wasomali katika nchi za Afrika mashariki, kwa miaka mingi iliopita, vita nchini Somalia sasa vimesababisha wimbi kubwa la wakimbizi nchi za nje, zikiwemo Kenya na Uganda, na hali ya mambo inawasikitisha sana wasomali wanaoishi katika nchi hizo.

https://p.dw.com/p/CHFS
Mapigano yanayoendelea mjini Mogadishu,Somalia
Mapigano yanayoendelea mjini Mogadishu,SomaliaPicha: AP
Mwandishi wetu Omar Mutasa amezungumza na Kiongozi wa jamii ya wasomali nchini Uganda Bw. Din Hassan na kwanza anaelezea maoni yake juu ya kuendelea kwa vita nchini Somalia.