1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makauburi ya pamoja 38 yagundulika DRC

Sudi Mnette
13 Julai 2017

Makaburi ya pamoja zaidi ya 38 yagundulika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kansela wa Ujerumani yupo Ufaransa kwa ziara ya kikazi na Rais Donald Trump wa Marekani amtetea mwanawe Trump Jr. kwa kukutana na mwanasheria wa Urusi.

https://p.dw.com/p/2gUFJ