1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malala Yousafzai arejea nyumbani Pakistan

29 Machi 2018

Unamkumbuka Malala? Binti wa Kipakistan aliyeponea chupuchupu kuuawa na Wataliban kwa sababu alitetea elimu ya wasichana. Leo hii amerudi nyumbani kwa mara ya kwanza, baada ya kuishi uhamishoni kwa miaka sita, na kupokelewa kama shujaa.

https://p.dw.com/p/2vCVS