1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malaria bado kitisho duniani

Lilian Mtono
25 Aprili 2018

Dunia inaadhimisha siku ya Malaria, huku shirika la afya duniani WHO likisema kitisho bado ni kikubwa. Venezuela yatajwa kukabiliwa na kitisho zaidi cha maradhi hayo. Papo kwa Papo:25.04.2018.

https://p.dw.com/p/2wdSF