Malaria – Kipindi 3 – Dalili na tiba16.03.201116 Machi 2011Katika kipindi hiki, imethibitika kuwa kinga ni bora kuliko tiba. Kwa kugundua mapema dalili za malaria kunazuia madhara zaidi ya maradhi hayo. Dalili hizi hupuuzwa na watu wengi.https://p.dw.com/p/QolIMatangazo