1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MANILLA :Sita wauawa nchini Ufilipino

11 Oktoba 2006
https://p.dw.com/p/CD46

Watu wasiopungua sita wameuawa katika shambulio la bomu nchini Ufilipino. Shambulio hilo lilifanyika wakati wa tamasha katika mji wa Makilala kusini mwa nchi hiyo.

Watu wengine 40 walijeruhiwa .