1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni : Taliban na kutambuliwa kimataifa

Khelef Mohammed15 Oktoba 2021

Ni miezi miwili sasa tangu utawala wa Taliban urejee madarakani nchini Afghanistan,baada ya miaka zaidi ya ishirini ya mapambano na majeshi ya nchi za kigeni yaliongozwa na Marekani chini ya kivuli cha jumuiya ya kijuhami ya NATO. Maoni kwenye meza ya duara wiki hii Mohammed Khelef na wageni wake wanajadili uwezekano wa Taliban kutambulika kimataifa.

https://p.dw.com/p/41jxy