1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Uwiano baina ya kuwahesabu watu na kuwaletea manufaa

10 Septemba 2012

Operesheni za serikali duniani kuwahisabu watu wake kwa nia ya kujua idadi yao tu, hazitakuwa na maana kwa watu hao kama takwimu zinazokusanywa hazielekezwi kuwanufaisha na kuyabadiisha maisha yao.

https://p.dw.com/p/1660V
Watoto wa skuli nchini Afrika ya Kusini.
Watoto wa skuli nchini Afrika ya Kusini.

Katika kipindi hiki cha Maoni kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Othman Miraji anajadiliana na wataalamu na wanaharataki kuhusu nafasi ya sensa katika maisha ya watu.

Kusikiliza kipindi hiki, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mtayarishaji/Muongozaji: Othman Miraji
Mhariri: Mohammed Abdulrahman