1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Yaangazia mvutano kati ya Saudi Arabia na Iran

Amina Mjahid
20 Septemba 2019

Katika maoni wiki hii Saumu Mwasimba anazungumzia mivutano kati ya Saudi Arabia na Iran baada ya kushambuliwa vituo vya mafuta vya Saudi arabia, mashambulio ambayo Iran inatajwa kuhusika. Waasi wa Houthi nchini Yemen wamekiri kuhusika na shambulio hilo, lakini Marekani inasisitiza Iran ndio wa kulaumiwa kwa tukio hilo. Haya yote yanazua wasiwasi juu ya amani ya Mashariki ya kati. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/3Pxnz