1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maonyesho ya kimataifa ya bidhaa za kiviwanda yamemalizika hii leo mjini Hannover,Ujerumani

20 Aprili 2007

Maonyesho ya kimataifa ya Hannover yamemalizika hii leo.

https://p.dw.com/p/CHFm
Wageni waliotembelea maonyesho katika mji wa Hannover
Wageni waliotembelea maonyesho katika mji wa HannoverPicha: AP

Maonyesho hayo ambayo mwaka huu yaliegemea zaidi katika bidhaa ya upepo yalivutia zaidi ya washiriki elfu sita kutoka kote duniani.

Kutoka Hannover Aboubakar Liongo ametuletea ripoti ifuatayo.