1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapinduzi ya kijeshi nchini Mali

Saumu28 Agosti 2020

Jeshi la Mali lilimuondoa madarakani Rais Ibrahim Boubacar Keita. Je, utawala wa kijeshi ndio suluhisho la matatizo ya Mali? Sikiliza kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/3heMV