1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marais Kabila na Kagame wakutana Gisenyi

Admin.WagnerD12 Agosti 2016

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amekutana na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, katika mji wa Gisenyi, kwenye mpaka baina ya nchi hizo mbili, katika wilaya ya Rubavu, katika mkoa wa magharibi.

https://p.dw.com/p/1JhNl
ARCHIV Treffen afrikanischer Staatschefs in Uganda QUALITÄT
Rais Kabila na Rais KagamePicha: dapd

Masuala kadhaa yamejadiliwa katika mkutano, ikiwa ni pamoja na usalama na biashara. Mwandishi wa DW John Kanyunyu alihudhuria mkutano huo, unaweza kusikiliza ripoti yake kwa kubonyeza alama ya kisikilizio hapo chini.