1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marekani yajiondoa katika Baraza la Haki za Binadamu

Daniel Gakuba
20 Juni 2018

Utawala wa Rais Donald Trump umeiondoa Marekani katika Baraza la Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu. Marekani imesema baraza hilo linaionea Israel, mshirika wake mkubwa. Umoja wa Mataifa na nchi nyingi muhimu zimeukosoa uamuzi huo. Papo kwa Papo.

https://p.dw.com/p/2zv3D