1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Marekani yakabidhi mshukiwa wa mauaji

29 Septemba 2016

Rwanda imeipongeza Marekani kwa kuikabidhi nchi hiyo mmoja wa washukiwa wa mauaji ya kimbari ambaye amekuwa akiishi Marekani, Leopold Munyakazi. Anashukiwa kuendesha mikutano ya kuangamiza Watutsi.

https://p.dw.com/p/2Qix0
Maiti za walioluliwa kanisani Rwanda
Maiti za walioluliwa kanisani RwandaPicha: epd

J2 2909 Genocide Deported back to Rwanda - MP3-Stereo