1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashirika ya kijamii nchini Kenya: Sheria kuhusu dhuluma za kijinsia zinawabagua wavulana

Wakio Mbogo (HON)19 Machi 2019

Nchini Kenya, jamii imetakiwa kuhakikisha kuna ufahamu wa kutosha kuhusu mianya iliopo kwenye sheria kuhusu dhuluma za kijinsia ili kuwalinda wavulana na wanaume. Hii ni kufuatia tetesi kutoka kwa mashirika ya kijamii kuwa, kinyume na haki za mtoto wa kike zinavyotetewa, mtoto wa kiume amepuuzwa, na hata haki zake kutozingatiwa katika sheria nyingi, hivyo kumuacha bila mtetezi anapopitia dhuluma.

https://p.dw.com/p/3FJ4X