1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 09.12.2017

Grace Kabogo
9 Desemba 2017

Mzozo kati ya Israel na Palestina washika kasi baada ya Marekani kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel//Dunia leo inaadhimisha siku ya kupambana na rushwa, huku Umoja wa Mataifa ukikadiria kuwa karibu Dola trilioni 1 hutolewa kama rushwa kila mwaka//Katika michuano ya Ligi Kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga,Bayern Munich leo inapambana na Frankfurt.

https://p.dw.com/p/2p3ze