1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 21.10.20

TSA / S08S21 Oktoba 2020

Baadhi ya wanasiasa Tanzania wamewataka viongozi wa dini kuhubiri haki, amani na utulivu na sio kuwaombea kura wagombea. Je, hisia za Wamarekani zikoje kuelekea uchaguzi mkuu wa Novemba. Na wakimbizi wanawake wanasema ukatili dhidi yao umeongezeka kutokana na janga la maambukizi ya Corona katika nchi za Afrika.

https://p.dw.com/p/3kDKH