1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)

12 Agosti 2018

Ujerumani na Uhispania zaahidi kuungana katika suala la wahamiaji wanaoingia Ulaya//Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Yemen asema mazungumzo kati ya pande zinazozozana yatajikita katika serikali ya mpito//wanaounga mkono siasa za mrengo wa kulia Marekani kuandamana mbele ya Ikulu ya White House leo katika maadhimisho ya maandamano ya Charlotesville.

https://p.dw.com/p/331Xo